Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Sijamsikia polite tang u uchaguzi uisheHuyu mfa maji aliwekeza siasa zake katika kumshambulia Mbowe binafsi kupunguza maumivu yake badala ya kunadi sera za Chama chake.CCM walifurahia sana mambo hayo kiasi cha kuambatana nae katika Mikutano yao kwa ajili ya kufurahisha tu wafuasi wao kwa Matusi yake kwa Mbowe.
Sasa Mbowe kaondoka CHADEMA kaingia Lissu aliyekuwa anamsifia sana,ina maana Msigwa automatically anakuwa useless?Au watampa project gani kumuokoa?
Kwa mara ya kwanza CCM imesajili WAPINZANI wa kuuimarisha upinzani kuliko chama ChaoSijamsikia polite tang u uchaguzi uishe
Hiyo ni sawa na uko unakomaA na kuandika academic paper , ile unakaribia ku submit unaiona tayari iko online Ishakuwa published. AnA hali ngumu kuliko tunavyofikiriaHuyu mfa maji aliwekeza siasa zake katika kumshambulia Mbowe binafsi kupunguza maumivu yake badala ya kunadi sera za Chama chake.CCM walifurahia sana mambo hayo kiasi cha kuambatana nae katika Mikutano yao kwa ajili ya kufurahisha tu wafuasi wao kwa Matusi yake kwa Mbowe.
Sasa Mbowe kaondoka CHADEMA kaingia Lissu aliyekuwa anamsifia sana,ina maana Msigwa automatically anakuwa useless?Au watampa project gani kumuokoa?