Msigwa: bora nisiwe mbunge kuliko kuhamia CCM

Msigwa: bora nisiwe mbunge kuliko kuhamia CCM

Chomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Posts
250
Reaction score
662
Katika mahojiano na mwandishi wa Star TV muheshimiwa Peter Msigwa asema aliitwa ofisini kwa spika ndugai akishawishiwa kuhamia ccm kwa malipo ya ubunge

pia amezungumzia suala la wabunge wasio na chama maarufu kama covid 19
 
katika mahojiano na mwandishi wa star tv muheshimiwa peter msigwa asema aliitwa ofisini kwa spika ndugai akishawishiwa kuhamia ccm kwa malipo ya ubunge

pia amezungumzia suala la wabunge wasio na chama maarufu kama covid 19
SAFI SANA[emoji122]
 
Itakuwa dau wampalo ni dogo....ndio maana kaongea kuongeza thamani
 
Sizitaki mbichi hizi sungura akajutia
Yakamtoka machozi matunda akalilia, matunda akalilia sungura nakuambia.

images (1).jpeg

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kipindi Cha mwendazake,Hawa Wabunge wa viti maalumu, Bashiru na Polepole walifanya biashara ya kijinga sana.
 
Ilikuwa kipindi cha Magufuli, Ndugai alitumwa amshawishi Msigwa. Pia tunakumbula walivyoachiwa kutoka gerezani Ukongq aliletewa usafiri wa gari za Ikulu lakini alikataa kupanda.
 
katika mahojiano na mwandishi wa star tv muheshimiwa peter msigwa asema aliitwa ofisini kwa spika ndugai akishawishiwa kuhamia ccm kwa malipo ya ubunge

pia amezungumzia suala la wabunge wasio na chama maarufu kama covid 19
Muongo sana msigwa
 
Waliopo Iringa wanajua vizuri kipindi cha magu.
Kama hamuamini muulizeni JESCA mbunge wa sasa na Mkiti CCM mstaafu alichofanyiwa na Magu.Hata jina lake alipitisha kujisafisha kwawanaIringa

JESCA alikaa sero Siku kadhaa kwa amri ya meko
 
Back
Top Bottom