Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hii kazi ya kutetea ujambazi inahitaji roho ngumu sana!
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akihojiwa na Wasafi TV amesema kuwa Deni la Taifa linakua kwa kasi kwa sababu fedha hizo zinaenda kwenye miradi ila kuna watu wanapotosha kuonekana fedha hizo zinaliwa
Kwa hiyo ripoti ya CAG ni ya kipotoshaji? Huyu jamaa ni zaidi ya majununi.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akihojiwa na Wasafi TV amesema kuwa Deni la Taifa linakua kwa kasi kwa sababu fedha hizo zinaenda kwenye miradi ila kuna watu wanapotosha kuonekana fedha hizo zinaliwa
Wenye akili, maarifa na karama ya uongozi wako mitaani...!
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akihojiwa na Wasafi TV amesema kuwa Deni la Taifa linakua kwa kasi kwa sababu fedha hizo zinaenda kwenye miradi ila kuna watu wanapotosha kuonekana fedha hizo zinaliwa
Yeah. Pia kuna majambazi humu JF akina MamaSamia2025, ChoiceVariable , Ritz, na wapuuzi wengine ambao wanapenda kutetea wizi.Hii kazi ya kutetea ujambazi inahitaji roho ngumu sana!
Kutetea nini? Kwani Kuna kipi linahitaji kutetewa? Acha upumbavu wewe nyumbu.Yeah. Pia kuna majambazi humu JF akina MamaSamia2025, ChoiceVariable , Ritz, na wapuuzi wengine ambao wanapenda kutetea wizi.
Watu wanakopa fedha halafu wanazugawana kama njugu halafu wapuuzi kutoka Lumumba mnatetea. Kila mwaka CAG anabaini wizi wa matrilioni ya shilingi lakini hakuna kinachofanyika kuwakamata wezi na kuwafilisi au kuwafunga jela. Wewe unaona hilo ni sawa mkuu?Kutetea nini? Kwani Kuna kipi linahitaji kutetewa? Acha upumbavu wewe nyumbu.
Deni la Taifa sio kitu Cha ajabu
Zimetafunwa na mifisadi ya CCM.Trilioni 60 zimefanya nini?
Onyesha pesa iliyogawanywa kama njuguWatu wanakopa fedha halafu wanazugawana kama njugu halafu wapuuzi kutoka Lumumba mnatetea. Kila mwaka CAG anabaini wizi wa matrilioni ya shilingi lakini hakuna kinachofanyika kuwakamata wezi na kuwafilisi au kuwafunga jela. Wewe unaona hilo ni sawa mkuu?
Una hoja mkuu usikilizweWenye akili, maarifa na karama ya uongozi wako mitaani...!