Msigwa: Filamu ya Royal Tour imegharimu tsh 7 billion na inatazamwa duniani Kote

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katibu mkuu wa Wizara ya Sanaa amewataka Wasanii nchini kufanya mambo makubwa kama Filamu ya Royal Tour inavyoitangaza Tanzania duniani Kote

Aidha Msigwa amesema wimbo wa Diamond uitwao Kamasova unafanya vizuri sana duniani kote

Msigwa amewataka Wasanii nchini kuwaiga Diamond na Kanumba katika kufanya mambo makubwa na wasijisahau kulipa Mikopo ya mabenki wanayodaiwa Ili na wengine wafaidike na kuaminika na Benki zetu

Source: Mwananchi

Jumaa Mubarak 😃😃
 
Mmakonde anakopa kununua gari ahonge, mchaga, mkinga, muha wanakopa kuanzisha au kukuza biashara, msukuma anauza mifugo ili aongeze mke, mzaramo, mluguru na msafa anakopa kumcheza mtoto, mnyakyusa wa tukuyu anakopa asomeshe mtoto, mnyaki wa kyela anakopa anunue chakula ale, muhaya anakopa ili aende vacation, mpemba na muunguja anakopa aende macca kuhij, kila mmoja na vipaumbele vyake tuishi Kwa aman tu
 
Chura kiziwi na crew yake bhana, hawa ishi swaga za kitoto.

spending 7 billion ili ukauze ngorongoro sio
 
Mmakonde anakopa kununua gari ahonge, mchaga, mkinga, muha wanakopa kuanzisha au kukuza biashara, msukuma anauza mifugo ili aongeze mke, mzaramo, mluguru na msafa anakopa kumcheza mtoto, mnyakyusa wa tukuyu anakopa asomeshe mtoto, mnyaki wa kyela anakopa anunue chakula ale, muhaya anakopa ili aende vacation, mpemba na muunguja anakopa aende macca kuhij, kila mmoja na vipaumbele vyake tuishi Kwa aman tu
Shida siyo uliutumiaje mkopo.Ukitulia tu,waliokukopesha wamefika kudai chao halafu hauna.
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Sanaa amewataka Wasanii nchini kufanya mambo makubwa kama Filamu ya Royal Tour inavyoitangaza Tanzania duniani Kote

Aidha Msigwa amesema wimbo wa Diamond uitwao Kamasova unafanya vizuri sana duniani kote

Msigwa amewataka Wasanii nchini kuwaiga Diamond na Kanumba katika kufanya mambo makubwa na wasijisahau kulipa Mikopo ya mabenki wanayodaiwa Ili na wengine wafaidike na kuaminika na Benki zetu

Source: Mwananchi

Jumaa Mubarak 😃😃
Naona unamfagilia Msigwa, vipi amekuoa au vipi maana inafikirisha!
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Sanaa amewataka Wasanii nchini kufanya mambo makubwa kama Filamu ya Royal Tour inavyoitangaza Tanzania duniani Kote

Aidha Msigwa amesema wimbo wa Diamond uitwao Kamasova unafanya vizuri sana duniani kote

Msigwa amewataka Wasanii nchini kuwaiga Diamond na Kanumba katika kufanya mambo makubwa na wasijisahau kulipa Mikopo ya mabenki wanayodaiwa Ili na wengine wafaidike na kuaminika na Benki zetu

Source: Mwananchi

Jumaa Mubarak [emoji2][emoji2]
Katika "research" kuna ,"general objectives na specific objectives"...

Mh.Rais SSH anaona mbali sana na ametambaa na "general objectives"....

Bilioni 7 zilizowekwa zitatuingizia matrilioni ya fedha kwa miaka mingi ijayo...
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Sanaa amewataka Wasanii nchini kufanya mambo makubwa kama Filamu ya Royal Tour inavyoitangaza Tanzania duniani Kote

Aidha Msigwa amesema wimbo wa Diamond uitwao Kamasova unafanya vizuri sana duniani kote

Msigwa amewataka Wasanii nchini kuwaiga Diamond na Kanumba katika kufanya mambo makubwa na wasijisahau kulipa Mikopo ya mabenki wanayodaiwa Ili na wengine wafaidike na kuaminika na Benki zetu

Source: Mwananchi

Jumaa Mubarak [emoji2][emoji2]
[emoji7]
 
Back
Top Bottom