johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukienda Bureau de change ni hela ndogo sana hiyo πIla we lijamaa ni mnafiki sana, 7b kweli!
Shida siyo uliutumiaje mkopo.Ukitulia tu,waliokukopesha wamefika kudai chao halafu hauna.Mmakonde anakopa kununua gari ahonge, mchaga, mkinga, muha wanakopa kuanzisha au kukuza biashara, msukuma anauza mifugo ili aongeze mke, mzaramo, mluguru na msafa anakopa kumcheza mtoto, mnyakyusa wa tukuyu anakopa asomeshe mtoto, mnyaki wa kyela anakopa anunue chakula ale, muhaya anakopa ili aende vacation, mpemba na muunguja anakopa aende macca kuhij, kila mmoja na vipaumbele vyake tuishi Kwa aman tu
Naona unamfagilia Msigwa, vipi amekuoa au vipi maana inafikirisha!Katibu mkuu wa Wizara ya Sanaa amewataka Wasanii nchini kufanya mambo makubwa kama Filamu ya Royal Tour inavyoitangaza Tanzania duniani Kote
Aidha Msigwa amesema wimbo wa Diamond uitwao Kamasova unafanya vizuri sana duniani kote
Msigwa amewataka Wasanii nchini kuwaiga Diamond na Kanumba katika kufanya mambo makubwa na wasijisahau kulipa Mikopo ya mabenki wanayodaiwa Ili na wengine wafaidike na kuaminika na Benki zetu
Source: Mwananchi
Jumaa Mubarak ππ
Katika "research" kuna ,"general objectives na specific objectives"...Katibu mkuu wa Wizara ya Sanaa amewataka Wasanii nchini kufanya mambo makubwa kama Filamu ya Royal Tour inavyoitangaza Tanzania duniani Kote
Aidha Msigwa amesema wimbo wa Diamond uitwao Kamasova unafanya vizuri sana duniani kote
Msigwa amewataka Wasanii nchini kuwaiga Diamond na Kanumba katika kufanya mambo makubwa na wasijisahau kulipa Mikopo ya mabenki wanayodaiwa Ili na wengine wafaidike na kuaminika na Benki zetu
Source: Mwananchi
Jumaa Mubarak [emoji2][emoji2]
[emoji7]Katibu mkuu wa Wizara ya Sanaa amewataka Wasanii nchini kufanya mambo makubwa kama Filamu ya Royal Tour inavyoitangaza Tanzania duniani Kote
Aidha Msigwa amesema wimbo wa Diamond uitwao Kamasova unafanya vizuri sana duniani kote
Msigwa amewataka Wasanii nchini kuwaiga Diamond na Kanumba katika kufanya mambo makubwa na wasijisahau kulipa Mikopo ya mabenki wanayodaiwa Ili na wengine wafaidike na kuaminika na Benki zetu
Source: Mwananchi
Jumaa Mubarak [emoji2][emoji2]
Nadhani umelewa pombe chafuNaona unamfagilia Msigwa, vipi amekuoa au vipi maana inafikirisha!