Msigwa huko CHADEMA amejipa 'kazi maalum'?

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Msigwa na Sugu ni kambi mbili tofauti ndani ya Chadema kwasababu Msigwa ni adui namba moja wa Bestfriend wa Sugu, William.

Nikauliza kijiwe vipi hali ikoje? Wakaniambia wao wanaamini Msigwa amerudishwa kwa kazi maalum na kwa wanavyomjua amejipa yeye mwenyewe hiyo kazi.

Na kunamsemo wakaniambia “ UNAWEZA KUTOKA CCM, ILA CCM KUKUTOKA MOYONI UKISHAINGIA NI NGUMU” Basi nikasema naomba kiti nikae. Nawasikiliza!!!

 

Attachments

  • 20260524_110223.jpg
    307 KB · Views: 23
Mnajuana kwa vilemba
 
 
Machoko ya Abdul mpaka mnye mavi awamu hii
 
Acha wivu uje na wewe upewe kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…