Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wewe unaishi huko ulikokutaja? Unajua report zinazopelekwa huko zinasomekaje?Dunia hii haoni watu wanavyokufa gaza, kongo, sudan, somali, afrika ya kati, hait, venezuela, colombia...
Achen ufya fya
Amewawahi kabla hamjaidili mitandaoni au siyo?Ange mute kwanza
Inaona kwa hiyo unataka na tanzania ifike huko na kwan hizo jumuia azikemei hayo mambo.cha msingi democracy ifatwe kila kitu kita kuwa sawa.Dunia hii haoni watu wanavyokufa gaza, kongo, sudan, somali, afrika ya kati, hait, venezuela, colombia...
Achen ufya fya
Tanzania kwasasa Mama yako Samia ameshaua kikatili zaidi ya hizo nchiDunia hii haoni watu wanavyokufa gaza, kongo, sudan, somali, afrika ya kati, hait, venezuela, colombia...
Achen ufya fya
Kama waonavyo keyboard warriorsTanzania kwasasa Mama yako Samia ameshaua kikatili zaidi ya hizo nchi
IPO siku hasira ya Mungu itawaka juu yenu