Responded Msigwa: Tunajenga viwanja vikiwa na running track kwa sababu vinakuwa ni vya olimpiki ili viweze kutumika mashindano yote

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa ameweka wazi sababu za serikali ya Tanzania kupitia wizara kuendelea kujenga viwanja vya olimpiki licha ya kuwepo kwa wapenzi wa soka wanaotamani viwanja hivyo vijengwe maalum kwa ajili ya soka tu.

Soma Pia: Hoja kuhusu Muundo wa Uwanja wa Arusha Stadium

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa ameweka wazi sababu za serikali ya Tanzania kupitia wizara kuendelea kujenga viwanja vya olimpiki licha ya kuwepo kwa wapenzi wa soka wanaotamani viwanja hivyo vijengwe maalum kwa ajili ya soka tu.
Yupo sawa ni ubinafsi wa mashabiki wa mpira wa miguu kujijalii wenyewe ilhali kuna michezo chugu zima pia haina miundombinu..
 
Back
Top Bottom