The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,709 May 25, 2026 #1 Kuna makosa yanafanywa kuwaita wachungaji. Peter Msigwa ni mmojawapo. Leo chawa. Kesho mpinzani. Haya wasisi wa ngawira kupitia joho la uchungaji. Hawafai. Tueazomee na tusiwaheshimu wala kuwaamini. Ni matapeli ya kawaida.
Kuna makosa yanafanywa kuwaita wachungaji. Peter Msigwa ni mmojawapo. Leo chawa. Kesho mpinzani. Haya wasisi wa ngawira kupitia joho la uchungaji. Hawafai. Tueazomee na tusiwaheshimu wala kuwaamini. Ni matapeli ya kawaida.
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,424 Reaction score 30,799 May 25, 2026 #2 Ishu ya kuhama haka chama ni suala lake binafsi na utashi wake; Uchangaji ataendelea kua nao tuu. Mbona hata Masanja Mkandamizaji ni Mchungaji. 😊
Ishu ya kuhama haka chama ni suala lake binafsi na utashi wake; Uchangaji ataendelea kua nao tuu. Mbona hata Masanja Mkandamizaji ni Mchungaji. 😊
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 51,453 Reaction score 41,274 May 25, 2026 #3 The Father of All said: Kuna makosa yanafanywa kuwaita wachungaji. Peter Msigwa ni mmojawapo. Leo chawa. Kesho mpinzani. Haya wasisi wa ngawira kupitia joho la uchungaji. Hawafai. Tueazomee na tusiwaheshimu wala kuwaamini. Ni matapeli ya kawaida. Click to expand... J.Selasini anakwenda kuiba nafasi ya kiti cha mwenyekiti wa chadema Taifa as soon asa possible, P.Msigwa anakua mjumbe maalumu kamati kuu ya chadema taifa as soon as possible
The Father of All said: Kuna makosa yanafanywa kuwaita wachungaji. Peter Msigwa ni mmojawapo. Leo chawa. Kesho mpinzani. Haya wasisi wa ngawira kupitia joho la uchungaji. Hawafai. Tueazomee na tusiwaheshimu wala kuwaamini. Ni matapeli ya kawaida. Click to expand... J.Selasini anakwenda kuiba nafasi ya kiti cha mwenyekiti wa chadema Taifa as soon asa possible, P.Msigwa anakua mjumbe maalumu kamati kuu ya chadema taifa as soon as possible