Hata wakiteka wananchi wanasema sio wao.Watanganyika tupo pazuri sana. Kifinyo kinawafikia na wanaelewa kuwa safari hii hatuna masihara kabisa.
Muda Mchache uliopita Gerson Msigwa kasalimu amri, kajishusha na kakana matamshi yake.
View attachment 3365540
Tusiache kusimamia hili. Mwaka huu watawala lazima waelewe sie ndo msingi mamlaka ya Taifa hili.
No Reforms No Election ✌️✊️
😀😀😀katema bungo.. Gen Z wa Bongo wameamka vibaya sanawakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata"
=====
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika;
"Sikusema maneno haya katika taarifa yangu ya jana, Ndugu zangu Waandishi wa Habari tuzingatie USAHIHI (ACCURACY) katika ripoti zetu"Gerson Msigwa Msemaji wa serikali.
Msigwa kwa maboko aliyotoa wiki hii kakalia kuti kavuWamevurugwa
Mchumia Tumbo, Sindano ya no reform imemuingia vizuri kunako
anayetakiwa amtumbue naye anatakiwa atumbuliweMsigwa kwa maboko aliyotoa wiki hii kakalia kuti kavu
Atajikuta nje ya mfumo sio mudaMsigwa kwa maboko aliyotoa wiki hii kakalia kuti kavu