PreGE2025 Msigwa: Sikusema 'Wanao-comment NO reforms NO election tutawapata'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ameanza kujitetea huyu mbwiga, na bado
 
hawa washama wanawayoaga wapi

ova
 
Sawa, kwani ikibaki vilevile kuwa alisema "no reform no election", itakuwaje?
 
Hii dunia ina futuhi sana.Huyu Greson leo anasema hayo siyo maneno aliyotamka kukataza na kutoa kauli kauli sio mahandishi tu hata sauti yako.
 
hovyo kabisa kwa sisiem nyeusi ni blue na nyeupe ni crem. akome no reforms no election
 
Hii no reforms, no election ni ya watanzania wote wakiwemo ccm. Hakuna atakayeachwa nyuma ama hapendi au anapenda. Ni kampeni ya aina yake haipaswi kupingwa na yeyote mwenye akili timamu
 
Msigwa Punguza mdomo Bado Kuna issue ya ukarabati wa uwanja Benjamin Mkapa ukisema kampuni ya Uturuki imemaliza kazi huku CAF wamekataa, kuna siku utawajibika
 
Na yeye anaunga mkono kwa lugha nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…