Huyo mtani wako?labda uniambie nani mtani wa akina Mapunda,Ngonyani,Katembo na waukanda huo?Msigwa ajue kuwa uteuzi wake katika nafasi hiyo ni kutokana na uchawa na si elimu wala weledi!
No Reforms No Election 🔥!
Tekateka waambie fasiii hiyo chawa hakatizi kwani ipo sakafu ya pasi hadi kufiiikaaamoo.No reform no election hadi kwenye keyboard nikiandika no cm ishajua inaleta juu niko ngalelo hapo fasi ya sinai
Mikwara ya NENRHahaha.. .kafanyaje?
wakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata"
=====
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika;
"Sikusema maneno haya katika taarifa yangu ya jana, Ndugu zangu Waandishi wa Habari tuzingatie USAHIHI (ACCURACY) katika ripoti zetu"Gerson Msigwa Msemaji wa serikali.
Huyo ni Mwehu wa Samia!Huyo mtani wako?labda uniambie nani mtani wa akina Mapunda,Ngonyani,Katembo na waukanda huo?
Kaona mawashuwashu ya ICC yatamuwasha.. Huyu kaka anamajivuno na madharau sana.wakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata"