Msigwa: Suala la dhahabu linapotoshwa. Kabla ya awamu ya sita Serikali ilikuwa haina dhahabu

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa anaeleza kuwa suala lilioibuliwa hivi Karibuni la Uuzaji wa Dhahabu limepotoshwa tofauti na uhalisia ulivyo kwa kile alichodai ni suala la kawaida.

Your browser is not able to display this video.
 
Hivi wakati wa Magufuli walipofungua maduka ya kununua dhahabu kule Geita ilikuwa ni dhahabu ya nani?? Ya serikali au ya BOT......!!?
haikua ya BOT na wala haikua ya serikali kwa navofahamu,
serikali ilichofanya ni kuweka mazingira na njia rasmi ya kuuza na kununua.

SSH yeye ndo kaimplement serikali kununua na kuhifadhi dhahabu --- suala la hifadhi hii itatumikaje hilo ni jambo lingine
 
Wakuu,

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa anaeleza kuwa suala lilioibuliwa hivi Karibuni la Uuzaji wa Dhahabu limepotoshwa tofauti na uhalisia ulivyo kwa kile alichodai ni suala la kawaida.

Kwaiyo wote wamepotosha hadi waziri mkuu! Ila yeye mtu wa cheo cha chini ndio yupo sahii? Aache dharau kwa waziri mkuu! Sisi tumemsikia waziri mkuu,na tumemuamini
 
Kwaiyo wote wamepotosha hadi waziri mkuu! Ila yeye mtu wa cheo cha chini ndio yupo sahii? Aache dharau kwa waziri mkuu! Sisi tumemsikia waziri mkuu,na tumemuamini
issue za kupotoshwa nchi hii ni mambo ya kawaida sana maana hata wanaotoa taarifa (serikali/mashirika) mara nyingi huwa wanatoa taarifa kana kwamba tanzania nzima ilikua kwenye hivyo vikao vyao --- ndo maana ufafanuzi hauishagi
 
Kwaiyo wote wamepotosha hadi waziri mkuu! Ila yeye mtu wa cheo cha chini ndio yupo sahii? Aache dharau kwa waziri mkuu! Sisi tumemsikia waziri mkuu,na tumemuamini
Waziri mkuu wenu kupotosha ni kawaida yake alisema kuna mtu amekamatwa na alilipwa bilioni tano kuandaa na kuhamasisha maandano kabla na baada ya uchaguzi,cha ajabu huyo mtu hajawahi kupelekwa mahakamani wala kuhojiwa na inayoitwa tume ya kuchunguza vurugu zilizotokea kabla na baada ya uchaguzi.
 
ila kwenye hili mbona kama yupo sahihi? au umesahahu tangazo la serikali kuanza kununua dhahabu lilitoka mwaka gani?
Wapinzani hawana cha kuwaambia wapigakura wao, na haya ni masikitiko makubwa sana. Hivi wanataka serikali inunue inunue inunue mahindi, mpunga, dhahabu kutoka kwa wanchi milele bila ya kuuza ili kupata fedha ya kununua chakula na dhahabu nyingine? Hata hayo maghala ya kuhifadhia siyatazidiwa jamani? Siasa uchwara zinazaa hoja uchwara pia. Jengeni na kuimarisha vyama vyenu kuanzia ngazi ya kaya.
 
Reactions: Lax
chadema (upinzani huu wa sasa) ishafika mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…