Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Msigwa, wagombea gani?Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewasihi waandishi wa habari kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kuwapa nafasi wagombea wote bila upendeleo.
Aidha, amesema kuwa wameunda kamati maalum inayoshirikisha serikali, Jeshi la Polisi, vyombo vya habari, Idara ya Habari–MAELEZO na Jukwaa la Wahariri, ambayo itakuwa inakutana kila wiki kwa lengo la kuhakikisha upatikanaji wa taarifa sahihi kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
View attachment 3461189
Kati ya watu wajinga ni pamoja na huyo mzee MsigwaWagombea kutoka vyama gani? Hawa wa Mpango wa Kando?
Hata aibu hamna jamani! Wanashindana na nani?
Wagombea gani kwa mfano?? Hivi this time kuna kampeni? Maana naona kuna chama kime changanyikiwa hadi wana piga vijembe wale ambao wana jielewa na hawako kwenye uchaguzi. Ati mara mpira kwapani, mara tone tone wakati hicho chama kina jua kwanini hao wanao jielewa hawapo. Nyie endeleeni na mlio wahonga magari.Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewasihi waandishi wa habari kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kuwapa nafasi wagombea wote bila upendeleo.