Msihuzunike, Kifo pia ni msingi wa maisha

myself scenario

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2015
Posts
347
Reaction score
213
Amani iwe nanyi!

Nilikuwa nawaza tu hivi ingekuwaje kama kusingekuwa na kifo kwa sisi binadamu na either viumbe wengine? Sasa jiulize kile kizazi cha kuanzia miaka 2000 iliyopita hadi leo kingekuwepo je dunia ingetosha kweli? Nahisi watu tungejazana sana duniani na duniani tungeiona ndogo.

Jiulize tu kwa sasa tunakufa ila bado watu wanagombania ardhi. Je, tusingezeeka?

Nimegundua bila kifo hali ingekuwa mbaya zaidi, tusiwalaumu Adam na Hawa kuwa ndio wametuponza na sasa tunakufa, ila Mungu alifahamu mapema bila kifo maisha ya duniani yangekuwa hatarini.

Mungu aliamua tufe ili hali iwe kama ilivyo sasa.
#freeman
 
Ni kweli kabisa mkuu, lakini ni vigumu kutokuhuzunika hasa pale unapoondokewa na mtu muhimu katika maisha yako unless otherwise uwe umehusika kwa kudhamiria kufanikisha kifo hicho.
 
Dunia ni kubwa mno,wala isingejaa.Kuna maeneo hapa duniani mwanadamu hajawahi kuweka mguu wake ukitoa haya ya hifadhi maalumu.
 
una dhani isingejaa? swala sio watu tu,kuna majengo,wanyama,mashamba na maeneo maalumu kama migodi.vyote hivi vinahtaj nafasi
 
Nitoe mawazo yangu kidogo

Watu hawagombanii ardhi kwa kua ni ndogo...ila wanagombania ardhi yenye manufaa..inayozalisha kwa urahisi..pia wengine hugombania ardhi kutokana na asili zao..wanadhani pale walipozaliwa ndio mahali pekee pa kuishi...ila ardhi bado kunwa sana

Pia wanagombania ardhi ili waishi karibu na jamii...wafanye muingiliano wa kibiashara na mengineyo

Pia kuongezeka kwa viumbe hakuongezi uzito wa dunia...kwa kua viumbe hutokana na dunia yenyewe...kilichopo mwilini mwako kimetoka duniani...hivyo ni uzito uliokuepo na utaendelea kuepo hata ukifa.
 
sio swala la uzito, nazungumzia population au wingi wa idadi ya watu na viumbe wengine dunian,kungekuwa na msongamano mkubwa sana
 
tatizo kutangulia ndo sheeda mkuu..bora tungethibitishiwa kila.mtu anagonga miaka mia..siku ya mia na moja u.R.I.P
 
Natumai wana jf mko poa
Kuna swali niliwahi kuliwaza nikiwa mdogo bila kupata majibu leo nazani majibu yatapatikana humu ndani.
KAMA KIFO KISINGEKUAPO DUNIA INGEKUAJE? HAKUNA KUFA" KUUANA KWA BINADAMU? NA WANYAMA PAMOJA NA VIUMBE VINGINE HAWAFI LABDA WAUAWE NA BINADAMU TU? JE DUNIA INGEJAA? LEO HII UKOO WAKO UNGEKUAJE?
Wanasayansi mashuhuri wangekuako mpaka Leo dunia ingekua wapi?
JE KUSINGEKUA NA KUZEEKA/ UKOMO WA UKUAJI BINADAMU TUNGEKUAJE?
Karibuni wanajamvi???
 
Aseh bora kuna kufa ebu fikir dunian wangekuepo bado kina mussolin,napoleon,hitler,Tshaka,Truman,Karl peters,caesar,nero. hao baadhi tu bado wanyama kama dinosaurs na sabletooth af tushukuru tunakufa!
 
the contents do not deserve to be in jamiii intelligence forum
 
Natumai wana jf mko poa
Kuna swali niliwahi kuliwaza nikiwa mdogo bila kupata majibu leo nazani majibu yatapatikana humu ndani.
KAMA KIFO KISINGEKUAPO DUNIA INGEKUAJE? HAKUNA KUFA" KUUANA KWA BINADAMU? NA WANYAMA PAMOJA NA VIUMBE VINGINE HAWAFI LABDA WAUAWE NA BINADAMU TU? JE DUNIA INGEJAA? LEO HII UKOO WAKO UNGEKUAJE?
Wanasayansi mashuhuri wangekuako mpaka Leo dunia ingekua wapi?
JE KUSINGEKUA NA KUZEEKA/ UKOMO WA UKUAJI BINADAMU TUNGEKUAJE?
Karibuni wanajamvi???
WANYAMA PAMOJA NA VIUMBE WENGINE HAWAFI LABDA WAUAWE NA BINADAMU TU!

[emoji15] [emoji15] hapo sijaelewa

Hawafi labda wauawe hivi hii inawezekana kweli?
 
one is born to survive and die to balance the nature
 
Binadamu wa awari wapo waliopata mtoto wa kwanza wakiwa na miaka Mia nane;; kama kungekuwa hakuna kufa labda mtoto wako wa kwanza ungempata ukiwa na miaka elfu nane so wengi humu tungekuwa hatujazaliwa ,,,, Mungu hashindwi kitu.akisema ni laana ni laana kweli,,,, kulingana na Imani ya kikristo
 
Kifo kimesaidia sana kuifanya dunia iwepo mpaka leo na pia kimepelekea kuwapo kwa amani
 
Amani iwe nanyi!

Nilikuwa nawaza tu hivi ingekuwaje kama kusingekuwa na kifo kwa sisi binadamu na either viumbe wengine? Sasa jiulize kile kizazi cha kuanzia miaka 2000 iliyopita hadi leo kingekuwepo je dunia ingetosha kweli? Nahisi watu tungejazana sana duniani na duniani tungeiona ndogo.

Jiulize tu kwa sasa tunakufa ila bado watu wanagombania ardhi. Je, tusingezeeka?

Nimegundua bila kifo hali ingekuwa mbaya zaidi, tusiwalaumu Adam na Hawa kuwa ndio wametuponza na sasa tunakufa, ila Mungu alifahamu mapema bila kifo maisha ya duniani yangekuwa hatarini.

Mungu aliamua tufe ili hali iwe kama ilivyo sasa.
#freeman
Amani iwe nanyi!

Nilikuwa nawaza tu hivi ingekuwaje kama kusingekuwa na kifo kwa sisi binadamu na either viumbe wengine? Sasa jiulize kile kizazi cha kuanzia miaka 2000 iliyopita hadi leo kingekuwepo je dunia ingetosha kweli? Nahisi watu tungejazana sana duniani na duniani tungeiona ndogo.

Jiulize tu kwa sasa tunakufa ila bado watu wanagombania ardhi. Je, tusingezeeka?

Nimegundua bila kifo hali ingekuwa mbaya zaidi, tusiwalaumu Adam na Hawa kuwa ndio wametuponza na sasa tunakufa, ila Mungu alifahamu mapema bila kifo maisha ya duniani yangekuwa hatarini.

Mungu aliamua tufe ili hali iwe kama ilivyo sasa.
#freeman
 
1471617512748.jpg
 
I personally feel extraordinary authentic when realize there is one day i will leave this mortal body and get a heavenly one with no suffering no sorrows no pains no tolerance no cheating no obligations any more.

I am keenly waiting for such day with great lust, enthusiasm and excitement.
 
Back
Top Bottom