myself scenario
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 347
- 213
WANYAMA PAMOJA NA VIUMBE WENGINE HAWAFI LABDA WAUAWE NA BINADAMU TU!Natumai wana jf mko poa
Kuna swali niliwahi kuliwaza nikiwa mdogo bila kupata majibu leo nazani majibu yatapatikana humu ndani.
KAMA KIFO KISINGEKUAPO DUNIA INGEKUAJE? HAKUNA KUFA" KUUANA KWA BINADAMU? NA WANYAMA PAMOJA NA VIUMBE VINGINE HAWAFI LABDA WAUAWE NA BINADAMU TU? JE DUNIA INGEJAA? LEO HII UKOO WAKO UNGEKUAJE?
Wanasayansi mashuhuri wangekuako mpaka Leo dunia ingekua wapi?
JE KUSINGEKUA NA KUZEEKA/ UKOMO WA UKUAJI BINADAMU TUNGEKUAJE?
Karibuni wanajamvi???
Amani iwe nanyi!
Nilikuwa nawaza tu hivi ingekuwaje kama kusingekuwa na kifo kwa sisi binadamu na either viumbe wengine? Sasa jiulize kile kizazi cha kuanzia miaka 2000 iliyopita hadi leo kingekuwepo je dunia ingetosha kweli? Nahisi watu tungejazana sana duniani na duniani tungeiona ndogo.
Jiulize tu kwa sasa tunakufa ila bado watu wanagombania ardhi. Je, tusingezeeka?
Nimegundua bila kifo hali ingekuwa mbaya zaidi, tusiwalaumu Adam na Hawa kuwa ndio wametuponza na sasa tunakufa, ila Mungu alifahamu mapema bila kifo maisha ya duniani yangekuwa hatarini.
Mungu aliamua tufe ili hali iwe kama ilivyo sasa.
#freeman