Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Jamani chondechonde msiingize swala la chanjo kwenye uvyama chanjo sio mali ya chama.
Waelimisheni watanzania wote vile ambavyo wewe unaelewa kuhusu chanjo.
Mtu akizungumza jambo tusikurupuke kuanza kuliingiza kwenye mambo ya chama hapo tunakua hatutumii akili zetu sawa sawa.
Ukiona mtu kazungumza jambo na kutoa hoja zake utaratibu mzuri ni kujitokeza hadharani na kupangua hoja zake na sii kuanza kutishiana mara mfukuze hafai.
Zungumza hoja mbili tatu ili kupangua hoja za mwingine hiyo ndio demokrasia.
Haina haja ya kubishana.