Msiiponde Udsm manake hii ni kama kocha Mchezaji

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Kumeibuka posts nyingi za kuichafua udsm kwa fujo sana.ikumbukwe kua hata hao wataalamu wavingine ni mazalia ya udsm.Ubora wa wataalam upo vilevile.kinachoweza kutiliwa shaka ni wadahiliwa mana viwango vya ufaulu f6vimeshuka nchini.
 
UDSM hamna kitu hapo.

Anzeni kwanza na hata usafi wa mazingira yenu tu.

Vyoo vyenu vinanuka sana. Mabweni yenu hususan yale maghorofa ipo siku yataleta majanga.

If I were a student there, out of an abundance of caution, I'd not even think of going inside them let alone living in them.
 
Kweli nakubaliana na wote UDSM imeshuka kwa kusahaulika katika kuifanyia marekebisho hasa katika maeneo yanayo onekana kwa watu walio nje ya UDSM kama mazingira ya chuo na sifa za wanaodahiliwa. Miaka ya 97 kurud nyuma hakukua na mtu mwenye ufaulu wa dv 2 ndan ya UDSM. Lkn tusiangalie kushuka tu kwa chuo eb tuangalie ni nan anakishusha chuo hicho nguli East Afrika?
 
1. UDSM hamna kitu hapo.
Hapana. Kuna kitu tena kikubwa mno zaidi ya unavyoweza kudhani, sema wewe hujui, na hujui kama hujui


2. Anzeni kwanza na hata usafi wa mazingira yenu tu.
Mazingira ni safi, nadhani beyond comparison

3.Vyoo vyenu vinanuka sana. Mabweni yenu hususan yale maghorofa ipo siku yataleta majanga.
Hapa nakubaliana na wewe 100%, achilia mbali swala la hivyo vyoo vinavyolalamikiwa, haya maghorofa mawili Halls 5&2 wanafunzi wanabebana na hivyo kuya-overload, carrying capacity yake inakuwa doubled au hata kuwa tripled. Uongozi wa chuo kama hauwezi kuhakikisha swala hili linashughulikiwa tafadhali tunaomba serikali iingilie kati. Haya maghorofa yatakuja kuleta majanga ambayo lazima yatachukua record ya ki-ulimwengu. hili swala lisiposhughulikiwa kuna kitu kitakuja kutokea siku moja, mtaniambia!
 

acha kujisimesha pumba we si ndio ulijaza udsm mara tatu ili iwe first priority yako kwa kua huna vigezo una points mbya umekosa umepelekwa chuo cha kata afu sasa ivi unajisemesha acha kua kama dada wewe
 

Hapana. Kuna kitu tena kikubwa mno zaidi ya unavyoweza kudhani, sema wewe hujui, na hujui kama hujui

Khee we bibi ndo hujui. Yaani hujui kama mimi najua halafu wewe mwenyewe ndo hujui kama hujui lakini unajifanya unajua.

Mazingira ni safi, nadhani beyond comparison

Basi wewe una viwango vya chini sana ndo maana hatuwezi kuonana jicho kwa jicho kwenye hilo. Pole.


Hapa sina ubishi.
 
acha kujisimesha pumba we si ndio ulijaza udsm mara tatu ili iwe first priority yako kwa kua huna vigezo una points mbya umekosa umepelekwa chuo cha kata afu sasa ivi unajisemesha acha kua kama dada wewe

Are you out of your meds or something?
 
Kumeibuka posts nyingi za kuichafua udsm kwa fujo sana.

nani kaichafua???
ikumbukwe kua hata hao wataalamu wavingine ni mazalia ya udsm
unaposemea wataalamu wengine unamaanisha nini??? je unamaanisha wanatokea ud?? kwani hamna wataaalamu wanaotokea vyuo vingine na wengine wapo hapo ud wanakufundisha???
 
mtoa uzi anaonekana ni kizazi cha mulugo ndo mana hakuchaguliwa UDSM
 
Udsm-the best place to be in east africa.
 
Nimesoma samari zenu.Kwa hiyo mnamaanisha ubora wa chuo ni majengo na sio elimu safi
 
For sure yani, i realy hate this ushindan wa vyuo huku jamvini. Over al the matters in our country kudiskas vyuo mmeona ndo the best thing tu be held...
Ma side ts so boring, n ningekua mods mada kama hizi ningezifutilia mbali..
Kila kukicha mara UD kimepanda, UDOM , kimeshuka....what thi for you guys?? Shame on you!!
Na nyie mnajiita wasomi?? Me nawaona hopeles tu...shame on you!!!
Angryyyyyuuu
 
Rolling stone gathers no moss
 
Kiacheni chuo chetu bhana!! Pilipili ya shamba yawawashia nini? Mie nili-enjoy kuishi hall 5 miaka miwili!! Udsm ni zaidi ya chuo na ndo maana kinaitwa chuo kikuu kikongwe!! Asa wakibomoa na hayo majengo ule uasili si utapotea? Cha kufanya nahisi watajenga hostel nyingne then yale yabaki kuwa kama historia i.e makumbusho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…