Waoneeni size yenu Chadema
Huko mnakokwenda sio
Hivi mnajua nguvu ya FBI na CIA, hao sio TISS inayotumwa na Mafweli na kuendeshwa na Abduli
Yaani Mwanajeshi kutoka USAF umkamate Tanzania Rorya akiwa na mabomu ya kurusha? 😃
Hivi mnaona hayo mabomu ya kurusha ni silaha kubwa na USAF?
Hayo mabomu ya kurusha USAF wanatengeneza Kwa dakika 5 tena akiwa kwenye uwanja wa vita, tu wala haina haja ya kutoka nayo USA kuja kuyatumia TANZANIA
Ngoja tusubiri US embassy watajibu Nini?
Wenzetu Huwa wanachukulia kila kitu seriously, hapa najua wapo wanandaa dawa yenu.
Chonde chonde vyombo vyetu msitengeneze migogoro ya kidiplomasia isiyo na maana
Hao USA sio level zetu kwenye mambo ya kiulinzi wale wana mbinu nyingi za kukusumbua na kukupoteza.
Hapa TANZANIA ni nyumbani msituharibie TANZANIA yetu.