Msije kusema hamkuambiwa namna Ngono kwa mdomo inavyo sababisha Saratani

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
45,678
Reaction score
63,304
Lengo la JamiiForums ni kuelimisha, kuhabarisha, kuburudisha, kuhamasisha, kuliwaza, kutatua kero mbalimbali katika jamii ambazo zina mfanano na malengo yote niliyo yataja

Hivyo basi sote kwa pamoja/ujumla wetu tuhusike na taarifa hii ..

Asije akatokea mtu nakusema kuwa hajawahi kuambiwa/ kuhabarishwa .Tendo la furaha la dakika 10 tu linaweza kuwa sababu ya kuichukua hatima ya maisha yako na family yako ..

Ila huu ugonjwa nao umekaa mahali pabaya sana.. DAMN IT!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
You only live once mkuu..
Huo uoga wa maisha achana nao mzee..
Hatuwezi kuacha kupanda bodaboda kisa kuna mtu alipasuka kichwa kisa ajali.

Hatuwezi kuacha kula nyama ya mbuzi kisa kuna mtu alipata gout.... BTW we"re all going to die anyway. Acha tufaidi haya maisha mafupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kutisha watu, hayo mambo yapo miaka na miaka, aliyewahi kukutana na kansa mbili tu za mdomo maishani mwake asinipe like ambaye hajawahi kuona kansa hata moja anipe like, haya ngoja tuone
 
Selfie shida
Uvinza shida
Kavu kavu shida
Free style shida
Channel 0 shida
So hizo devices zikae kama mapambo tu?
Mimi ushauri wa kiafya nilikwisha udharau siku nyingi sana
1. Usinywe Pombe
2. Uwe na mke mmoja tu
3. Usile nyama nyekundu au yenye mafuta mengi, kitimoto
4. Epuka vumbi au moshi wa sigara
5. N.k., n.k., mbaya zaidi wanachagua vitu vizuri vizuri tu ndiyo wanasema hivi havifai, huwezi kusikia wanasema kujamba ni kitu kibaya unachafua hewa, shenzi zao tumechoka vitisho vyao, sasa ndiyo nitawafyatua mabinti mpaka wanyooke
 
Halafu mijitu ikifa inasema mkakati wa wazungu kutupunguza kha! nakubaliana na hao madaktari kila kiungo kitumike kama inavyotakiwa mambo mengine nawaachia wanaojiita mafundi uchwara.
 
Haya mambo ukiyafatilia sana stress ndio zitakuua. Wale wenzangu wa kuingia uvinza tuendelee tu! Uvinza Oyee!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…