Msije kusema hamkuambiwa namna Ngono kwa mdomo inavyo sababisha Saratani

Ambao hatujawahi zama huko tunacoment hapa au pm??

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Imeshakuwa too much sasa kila wakati, mpaka sasa sidhani kama kuna mwanajf bado hajui hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kwa knowledge yako wewe inavyo dhani kwamba wana Jf ni wale wale tu wasiku zote ambao ni mimi na wewe na wengine unao wafahamu .... Jf ni chombo cha habari ambacho kinatumika kumulika mambo mbali mbali katika jamii na ili jamii iweze kutambua thamani ya jambo ama athari zake basi inapaswa kuambiwa mara kwa mara ili ipate kutambua umuhimu wa hilo suala husika ...

Refer matangazo ya kampeni ya nyumba ni choo ambayo yalifanyika takribani mwaka mzima ....

Refer kuhusu mahubiri ya imani yanayofanyika kila siku ..... kama ingelikuwa kuambiwa tu jambo fulani kwa wakati fulani inatosha kuifanya jamii iweze kuelimika na kuachana nalo basi Hiyo mifano niliyoitoa hapo haikupaswa kufanyiwa kampeni/mawaidha ya kila siku ...

Finally napenda kuhitimisha kwamba Jf inapokea watu wapya kila siku " watu hao na wao wana haki yakuhabarishwa kile ambacho hawakuwahi kukiona au kukisikia wakati ambao hawakuwahi kuwa members wa Jf ........

Karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…