Msije kusingizia mvua, Wana usafi ratiba yetu iko palepale hata mvua ikinyesha

Msije kusingizia mvua, Wana usafi ratiba yetu iko palepale hata mvua ikinyesha

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wale tuliojiandaa kufanya usafi tafadhali msikose, tumeamua hata mvua ikinyesha tutasafisha kila kitu kinachosafishiika.

Wale wapendwa wenzetu waliotutangazia kuungana na sisi kwenye usafi niwakumbushe msisingize mvua mnakaribishwa kwa pamoja kuliweka jiji letu safi.

Mkuu wetu wa mkoa atatuongoza hili zoezi msisite kuungana nasi.

Usafi ni wa kila mmoja Auhusu chama wala dini
 
Ni kuzibua hadi mitaro na kutoa tope bila mbambamba 🐒
 
Back
Top Bottom