Siyo hao tu na wakenya njaa, Wazungu wamo humo wanachofanya ni kurengesha warembo matata wa kizungu na kuwatanabaisha kuwa wanatafuta wachumba kwa Gharama zao, wamechoka kuwa wapweke, sasa ingia mkenge uone rangi zote mara utaambiwa tuma P/port yako Nairobi, upewe visa uje,
au sasa Wazungu wanasema wanaweza kufanya biashara yenye faida na wewe ya Bureau ex..hivo wataomba uwapatie number za card yako ya Bank, check no, P/port nk
ukiona hivi wajibu kwa namana mbili 1.Siyo mbaya ukiwasikiliza wanavyo danganya watu, na kuwa tambua uzuri hakuna kitu kizuri km kujua njia za adui yako mtandaoni, Lugha Zao, mahali walipo,utawaonaje nk, hata wakiomba number ya Bank wape fake, unaweza andika yeyote tu, uone mwisha wao! ilimraddi unajua hawa ni matapeli wa mitandaoni.
2. Ukiona vepe wambie mimi ni mjukuu wa David Lockfeller niko mbuga za serengeti kwa muda ,wewe ndiyo unapaswa kuwasaidia kwa sababu maisha yako yame Ballance! Bill Gate cha mtoto, wambie wakutumie wao! number zao! Dawa ya moto ni moto! hawatakaa warudi tena
Nilipata Dem wa Ki-Danish, akanitongoza bana! eti wana viwanda kwao! nika mjibu kwa ki-Danish, akapotezea. nkajua ndo walewaleee! unajua tulifikia wapi!............
siku moja nitatoa na picha zake liwe fundisho kwa wengine wasiojua.