Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Huwa ninaona mara kwa mara wadau mbalimbali wa muziki wakimshauri mwanamuziki wa kimataifa Diamond Platnumz aimbe wimbo wa pamoja na Ali Kiba.
Kiukweli hili wazo huwa ninalipinga kwa nguvu zote ,Kiba kuimba ni mdogo sana ataharibu tu wimbo iwe isiwe.
Kwanza Mondi nyimbo zake nyingi ni za amsha amsha kitu ambacho Kiba hakiwezi hata kidogo
Kiukweli Kiba anapaishwa tu na watu wanaomchukia Diamond ila kipaji cha kuimba hana.
Kiba hata Lava Lava hamfikii maana wamekutana kiba na Lava lava wote waimba kaswida ,ni heri muunganiko wa Kiba na Lava Lava watulie watoe kaswida ya pamoja itapendeza sana kuliko kumpotezea muda Chibu akae na huyu jamaa mzee wa yoooo.
Kiba anakesha usiku na mchana kuomba bifu la kutengenezwa kati yake na Mondi lisiishe maana kuisha kwa hilo bifu maana yake ni yeye kufa kimuziki kabisa na kupotea kwenye ramani ya muziki mazim