Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Kweli pesa inambadilisha mtu, harmonize huyu huyu ambae alikua hajui hata kusema "thank you" leo anabonga ungeli kama hana akili nzuri, hofu yangu ni je alikiba tayari amesha weza na yeye?? maana last time kumuona akihojiwa kwa kiingereza ilikua ni aibu kwa taifa: