Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
atajuatu kwani nao hao wanajua kiswahili
Kizungu ndo lugha gani hiyo...?Inasikitisha kwakweli kama kizungu bado kibashibokewa this much..
Kihindi vpIkifika mwaka 2070 kutakuwa na lugha kuu tatu duniani. English, Spanish and Mandarin (Chinese).
Laazima ufahamu dunia inakokwenda. Wewe na Ali Kiba mnahitaji kufahamu hilo
Nilidhani ni hamorapaKweli pesa inambadilisha mtu, harmonize huyu huyu ambae alikua hajui hata kusema "thank you" leo anabonga ungeli kama hana akili nzuri, hofu yangu ni je alikiba tayari amesha weza na yeye?? maana last time kumuona akihojiwa kwa kiingereza ilikua ni aibu kwa taifa:
Kuongea au kutoongea kiingereza kinakusaidia nini?Kweli pesa inambadilisha mtu, harmonize huyu huyu ambae alikua hajui hata kusema "thank you" leo anabonga ungeli kama hana akili nzuri, hofu yangu ni je alikiba tayari amesha weza na yeye?? maana last time kumuona akihojiwa kwa kiingereza ilikua ni aibu kwa taifa:
Eti"this much"Inasikitisha kwakweli kama kizungu bado kibashibokewa this much..
Ulitakeje!!?Eti"this much"
Usikariri wewe kiingereza kina staili nyingi jombaa "this much" ni sahihi kabisa au umezoea kuona "too much" english ya darasa la 3 ambayo hata giggy money anaijua..Eti"this much"
Kweli pesa inambadilisha mtu, harmonize huyu huyu ambae alikua hajui hata kusema "thank you" leo anabonga ungeli kama hana akili nzuri, hofu yangu ni je alikiba tayari amesha weza na yeye?? maana last time kumuona akihojiwa kwa kiingereza ilikua ni aibu kwa taifa: