Independent Voter
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 279
- 71
Hiki ni kiswahili kweli???
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiongea kiswahili cha bongo hawatamuelewa, hapo sasa ndio sawa kabisa, kama huamini nenda Kisangani utashangaa lugha wanayoongea na watakwambia ni kiswahili.. lakini wewe hutaelewa chochote.hahahahaaa..kukaa kote msasani bado kiswahili kina mpiga chenga?
Hapana, si kwamba hajui Kiswahili, inabidi aongee hivyo ili aendane na hao anaowahutubia. Kwa taarifa yako kiswahili ndio lugha anayoijua J. Kabila vizuri zaidi kuliko lugha zote, ikifuatia English. Hakujua French na Lingala kwa ufasaha alipoingia madarakani, so ikabidi aanze kujifunza.
Ni ukweli kabasa kwa mfano ukitaka kusema maendeleo kule kongo inabidi useme developaaAkiongea kiswahili cha bongo hawatamuelewa, hapo sasa ndio sawa kabisa, kama huamini nenda Kisangani utashangaa lugha inaongelewa na watakwambia ni kiswahili.. lakini wewe hutaelewa chochote.
Hapana, si kwamba hajui Kiswahili, inabidi aongee hivyo ili aendane na hao anaowahutubia. Kwa taarifa yako kiswahili ndio lugha anayoijua J. Kabila vizuri zaidi kuliko lugha zote, ikifuatia English. Hakujua French na Lingala kwa ufasaha alipoingia madarakani, so ikabidi aanze kujifunza.
anachanganya kiswahili na kifaransa unaweza kuelewa vizuri kama unajua kifaransa kiufupi facilement=rebuilt bientot=soon, Développement=development, numero trois=number 3, vingt huit Novembre=November 28, avant=before, mais=but, deux milliers deuze=2012, quatre-vingt cent=180, candidat=candidate, campagne électorale=electoral campaign, deux milliers six=2006, promesse=promise, Nord=North, ville=city, modern=modern, voiture=car, moto (kiswahili cha kivu)=train, deux milliers onze=2016!
Hapana, si kwamba hajui Kiswahili, inabidi aongee hivyo ili aendane na hao anaowahutubia. Kwa taarifa yako kiswahili ndio lugha anayoijua J. Kabila vizuri zaidi kuliko lugha zote, ikifuatia English. Hakujua French na Lingala kwa ufasaha alipoingia madarakani, so ikabidi aanze kujifunza.
Bwana SINKALA uraia wako inabidi uchunguzwe japo unaongea kiswahili cha kuandika kwa ufasaha,wewe ni mzambia,japo utajifanya mtu wa mbozi..hongera kwa mafanikio katika soka la africa
mdau usije kupigwa ban bure kifilio ni kiswahili safi kabisa cha neno sharpener kwa maana ya kichongeo watu wa bara wanavyoita,lakini kiswahili chake kwenye kamusi ni kifilio sio kichongeo!Kwa kweli ndugu hiyo ID yako haistahili kabisa,tafadhali fikiria kwa busara na heshima,KIFILIO??!! KIFILIO???!!!! Ippo mtu atakua na ID ya MAKU kama mods mnaangalia tu!
Kwn google imewekwa ajil gan!Jamaa anajua kiswahili vizuri sana. Nadhani hapo yupo Kisangani ama Lubumbashi ambapo kiswahili chao huchanganya lingala, kiswahili na kifaransa na kupata lugha inayokaribia kiswahili ambayo wao huiita kiswahili. Ilibidi aongee hivuo ili kufikisha ujumbe. Kajamaa kananena Kifaransa, Kiswahili, Kiingereza na Lingala.