TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Jua maisha ni mlima eeh,maisha ni mlima,
Kuna kupanda na kushuka eeh,
Kupanda na kushuka, kuteleza siyo kuanguka eeh,
Hiyo hapo juu ni chorus ya wimbo kutoka kwa kinywa cha spika wenu wa bunge, sijui makusudi yake ila kwa anavyo onekana ni tumekosa spika mwenye kujiheshimu hana hadhi kwetu!.
Bora hata wewe Ndugai narudia; Kwa heshima na taadhima, Job Ndugai naomba unisamehe!
Kuna madudu yako ulifanya Ndugai ila hukuwahi kutumia mitandao ya kijamii kukejeli au kuimba taarabu za kimajivuno.
Ukweli tumeachiwa jau, najua unasoma hii dada yangu Calm_down, hapa umechemka huna hadhi tena ya kuitwa spika.
Bahati mbaya sana mfumo na katiba vinakubeba vinginevyo you're nothing.
Siku inakuja japo ni kauli ya kujipa moyo, -Nakuja.