Msikie ten hag.....

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Erik ten hag wakati anapewa mikoba kuinoa man utd aliwahi nukuliwa akisema

"Ninawaheshimu liverpool na manchester city lakini naweza kuona enzi zao zikiisha."

lakini timu zote hizo mbili ndizo zimempa vipigo vikubwa zaidi tangu atue klabuni hapo.
man city 6
liverpool 7
 
Hadithi yako inatufundisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…