Msikilize Harmonize akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC, anena mazito

Hakika kwa maelezo aliyoyatoa Harmonize ni wazi ameshindwa kuondoka WCB na mimi nasema wazi Harmonize ameshindwa kuondoka kabisa WCB

Naona alifanya haraka sana kutaka kujitoa WCB ndio maana hana majibu kabisa na limekuwa swali baya sana kwake na linamtesa!

Alitakiwa kujipanga kwanza kabla ya kuomba kujitoa WCB.....
 
Labda deni la mkataba ni kubwa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…