mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Safari na heineken wakimpeleka mahakamani ushahidi anao.....hawa bongo movie akili zao finyu sanaJB afunguka aeleza sababu ya mgomo sio kufungia Movie za nje, bali ni kutaka walipe vibali na kodi kama wao. Akiri kwambamovi za njeni bora kuliko zao. afananisha movie hizo mbili na bia ya safari na Heinken.
Kwanini mkuu? Una hoja gani?Ni mpuuzi pekee ndiye atakayewaelewa hao
Kitendo cha kuandamana kwenda kwa rc azuie movie za nje.Kwanini mkuu? Una hoja gani?
Kwani sababu za jb hazina mshiko?Kitendo cha kuandamana kwenda kwa rc azuie movie za nje.
Wangeziwasilisha panapostahili na kwa njia zinazostahiliKwani sababu za jb hazina mshiko?
HahahahaNi mpuuzi pekee ndiye atakayewaelewa hao
sasa wata compete nani kwa filamu zao?Kwenye hilo nimemuelewa kabisa. . .
Uwepo utaratibu mzuri wasoko la.movie ili waweze "kucompete"
Hahah this food is too much pilipiliSafari na heineken wakimpeleka mahakamani ushahidi anao.....hawa bongo movie akili zao finyu sana
bongo movie wengi wa akili kama za vicent kigosi ndo maana maendeleo itakua kwenye makapeti tuuMi ninaona wao wanavyozuia movie za nje kufanya biashara ndani ni upuuzi nao wanajifungia milango kufanya movie kimataifa, yaani unakaa na akili ya kufanya kazi ya kujilimt kimaendeleo na ki ujuzi kisa chuki binafsi, bora wangeandamana kushinikiza kodi zipunguzwe nao wauze bei ndogo, yaani aliekuwa anajitambua ni marehemu kanumba tu ndio maana aliweza kufanya kazi nje ya nchi hii.
Simple sana huko wanakoona kuna gharama ndio waende wakaombe waondolewe huo urasimu na hizo kodi!Mi nimemuelewa na ana hoja.
Amekua honest.
Anacholalamikia hasa ni kwamba Hawawezi kucompete na Movie za nje sokoni.
Na malalamiko yake hasa ni kwenye Bei. Za nje zinapatikana kwa gharama nafuu zaidi. Kutokana na mfumo wake wa kuingia sokoni.
Na gharama za kuziingiza sokoni.
Kwanza wanazidownload tu ,then wanadublicate na kuziweka sokoni hivyo zinakua na gharama nafuu na ukizingatia zina ubora zaidi ya bongoz ndio kabisa.
Za bongo hadi ziingie sokoni lazima zipitie mamlaka kadhaa ambazo huko nigharama.
Bado gharama ya kuiingiza sokoni inaanzia kwenye kuitayarisha. Unlike za nnje ambazo ni kudownload tu.
JB afunguka aeleza sababu ya mgomo sio kufungia Movie za nje, bali ni kutaka walipe vibali na kodi kama wao. Akiri kwambamovi za njeni bora kuliko zao. afananisha movie hizo mbili na bia ya safari na Heinken.