Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Mkuu muvi zao zingekua nzuri hata zingeuzwa milioni tungenunua tu. Wasichokijua ni kwamba walisahau fani yao baada ya kupata umaarufu na kuanza kuzunguka na mapedeshee na wanasiasa, sasa safari hii hali ngumu wanataka kurudi kwa fani yao its too lateMi nimemuelewa na ana hoja.
Amekua honest.
Anacholalamikia hasa ni kwamba Hawawezi kucompete na Movie za nje sokoni.
Na malalamiko yake hasa ni kwenye Bei. Za nje zinapatikana kwa gharama nafuu zaidi. Kutokana na mfumo wake wa kuingia sokoni.
Na gharama za kuziingiza sokoni.
Kwanza wanazidownload tu ,then wanadublicate na kuziweka sokoni hivyo zinakua na gharama nafuu na ukizingatia zina ubora zaidi ya bongoz ndio kabisa.
Za bongo hadi ziingie sokoni lazima zipitie mamlaka kadhaa ambazo huko nigharama.
Bado gharama ya kuiingiza sokoni inaanzia kwenye kuitayarisha. Unlike za nnje ambazo ni kudownload tu.