Msikilize kwa makini sana mwarabu huyu ili uache kushupaza fuvu bure

Msikilize kwa makini sana mwarabu huyu ili uache kushupaza fuvu bure

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
875
Reaction score
633
Hakuna nchi inayoitwa Palestina na wala haitakuwepo. Wafia dini endeleeni kushupaza mafuvu yenu na kujikombakomba kwa waarabu.
============
Mwanaume Mwarabu kutoka Saudi Arabia katika ujumbe kwa Wapalestina:

"Mna jaribu kumdanganya nani? Hamna ardhi wala hoja yoyote. Ardhi hii ni ya Israeli kwa ajili ya watu wa Israeli. Nyinyi Wapalestina ni waovu katika kila nchi mnayokanyaga!"

Hili linapaswa kushirikiwa kila wiki.

View: https://x.com/vividprowess/status/1897307419111514550?s=61
 
Anaweza kuwa Mwarabu halafu Jews
Ushawahi kuwasikia Sephardic Jews?
 
Wakati wewe unafanya utoto na unaleta habari zisizoeleweka. Sisi pia tunaweza tukakuletea mayahudi halafu wasomi na wako serious ambao sio tu wanawatetea wapalestina, bali wanalipinga vikali, tena kwa hoja, dola la kizayuni lililoanzishwa kimabavu katika Ardhi ya Shaam (Palestine) na wazungu waliokimbia Ulaya kwenda pale wakisema ni kwao.

Mfano mmoja tu ni Professor Norman Finkelstein.
 
Back
Top Bottom