Wakati wewe unafanya utoto na unaleta habari zisizoeleweka. Sisi pia tunaweza tukakuletea mayahudi halafu wasomi na wako serious ambao sio tu wanawatetea wapalestina, bali wanalipinga vikali, tena kwa hoja, dola la kizayuni lililoanzishwa kimabavu katika Ardhi ya Shaam (Palestine) na wazungu waliokimbia Ulaya kwenda pale wakisema ni kwao.
Mfano mmoja tu ni Professor Norman Finkelstein.