Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
We mzee, cha kusikiliza mbona hakipo?Haya mambo yapo jinsi yalivyo. Kama kuna kanuni ni lazima ifuatwe janja janja ni uhuni kwenye mpira.
Flash back!
Aplodingi sistimu ya JF wakati mwingine inazingua. Nimeshaweka😀😆😄Wapi anasikilizwa?
Mbona hakuna video?
We mzee, cha kusikiliza mbona hakipo?
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!Acha mikwara eti hamna cha kukufanya wakati mtoto wa kike Babra tu alikufanya ulie