Hahaa, lugha za makabila unalinganisha na lugha za kimataifa?Huo ndo ushamba wa mtu mweusi, kuongea lugha nyingi ni mafanikio au Expossure tu?
AIMsikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa:
French, German, Arabic, Chinese, Hindi, Swedish and English. Clip haizidi MB 3
View attachment 3418184
Nafikiri ndani ya miaka michache ijayo itakuwa ngumu kutofautisha AI na picha halisi
Wewe jina lako halisi ni setfree?Nitafurahi kujibu swali lako ukitaja jina lako halisi. Vinginevyo, naomba na wewe ufikirie unapata faida gani kwa kudai kwamba jina lako ni MamaSamia2025
Wewe umeshafeli tayari hata kabla haijawa mtihani.Huo ingekuwa ni mtihani ungefeli mazima😎
AI...Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa:
French, German, Arabic, Chinese, Hindi, Swedish and English. Clip haizidi MB 3
View attachment 3418184
Kanisa wapi bibiye nije tusali wote unifundishe na kiebrania ?Hekalu jeusi ni la wakaao gizani. Mimi naishi katika nuru
"Bwana ni nuru yangu..." (Zab 27:1)
Mbonaa ni AIMsikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa:
French, German, Arabic, Chinese, Hindi, Swedish and English. Clip haizidi MB 3
View attachment 3418184
Umejibu ushuziI am truly set free — Jesus set me free from the bondage of sin a long time ago.
John 8:36
"So if the Son sets you free, you will be free indeed."
Nitaokokea wapi nilipo wachungaj wote matapeli na wewe nikisema nipe namba nikupigie unipe muongozo huna muda na mimi 🤔Amua kwanza kuokoka.