Msikilize muandaji wa Royal Tour, Peter Greenberg uelewe kwanini kaichagua Tanzania

Msikilize muandaji wa Royal Tour, Peter Greenberg uelewe kwanini kaichagua Tanzania

Musikilize au msikilize?

Mwambie aseme kalipwa Trilioni ngapi!
 
Tozo ya kutochanjwa corona dollari 200 kila mwezi kwa wafanyakazi wa moja ya kampuni huko marekani hicho ndicho kilicho nistua. Watu wa aina hii ndio wanabadilishana mawazo na Mh Rais kwenye royal tour?! Mungu wa Mbinguni tupiganie!!!
 
Back
Top Bottom