Baraka21 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 1,262 Reaction score 3,184 Sep 8, 2021 #2 Musikilize au msikilize? Mwambie aseme kalipwa Trilioni ngapi!
S Shehullohi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2020 Posts 3,753 Reaction score 3,685 Sep 8, 2021 #3 Tozo ya kutochanjwa corona dollari 200 kila mwezi kwa wafanyakazi wa moja ya kampuni huko marekani hicho ndicho kilicho nistua. Watu wa aina hii ndio wanabadilishana mawazo na Mh Rais kwenye royal tour?! Mungu wa Mbinguni tupiganie!!!
Tozo ya kutochanjwa corona dollari 200 kila mwezi kwa wafanyakazi wa moja ya kampuni huko marekani hicho ndicho kilicho nistua. Watu wa aina hii ndio wanabadilishana mawazo na Mh Rais kwenye royal tour?! Mungu wa Mbinguni tupiganie!!!