Msikilize mwananchi aliyekutana na kuongea live na Yesu

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
24,225
Reaction score
22,632
Yesu alipofufuka kutoka wafu aliwatokea wanafunzi wake kabla ya kupaa kwenda mbinguni. Mmoja wa wanafunzi hao aliitwa Tomaso. Wakati anawatokea, Tomaso hakuamini maneno ya Yesu hadi alip9mchungulia Yesu mikononi mwake kuhakiki alama za misumari wakati alipotundikwa msalabani.

Kufuatia uhakiki wa Tomaso, mtu yeyote anayependa kuhakiki jambo huitwa Tomaso. Tumepata msamiati mpya katika lugha ya Kiswahili. Kwa sababu hiyo, wale matomaso msioamini kuwa Yesu yupo na anafananaje, hebu msikilize huyu mwananchi, aliyekutana naye live bila chenga. Msikilize wewe mwenyewe ili kuondoa ubishi kisha umuamini Yesu na kumfanya kuwa mwokozi wa maisha yako. Amina.

Your browser is not able to display this video.
 
Delusion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…