Msikilize Prof. Guy Standing ujitambue uko kwenye tabaka lipi kwenye ulimwengu wa leo

Msikilize Prof. Guy Standing ujitambue uko kwenye tabaka lipi kwenye ulimwengu wa leo

Tatizo ni hili, now days watu hawafungui videos kwa wingi sababu ya bundle so unaweza kuangalia wasomaji na wanaoreply kisha jifunze from there.
unashauri nini sasa?
 
Hali ya uchumi ilivyo ngumu hivi..bado mnatuma video ili tumalize mabando tukose taarifa.

#MaendeleoHayanaChama
Taarifa au umbeya maana zilizomo humo sitakufanya uwe mtoa taarifa badala ya kuwa mpokea taarifa- ila inategemea umelelewa vipi
 
Angalia uzi ulivyokosa wachangiaji mpaka umenifanya kuwa mjibu maswali ili kufufua uzi 😂!.

Unapomsikiliza huyo prof wako eleza hata kwa muhtasari anachosema and then weka na hiyo sinema yako ili kila mtu aruke na anavyojiweza.

KARIBU.
Mkuu utachangia nini kama hujasikiliza?! sina mashaka na uwezo wako wa kufikiri ila nina mashaka makubwa na namna unavyofikiri. Hata hivyo mie sikuwa natafuta michango
 
Back
Top Bottom