Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Linganisha Alichokisema Lukuvi na Alichokisema huyo Askofu
Majambazi wa Serikali wana roho ngumu sana. Nilishangaa kwamba mkuu wa majambazi wa Serikali alipata ujasiri wa kushiriki misa takatifu!Linganisha Alichokisema Lukuvi na Alichokisema huyo Askofu
Watanzania tunaonwa ni mapoyoyo sana.
Naona wanaendelea kupiga kwenye mshono. Asante baba askofu.Linganisha Alichokisema Lukuvi na Alichokisema huyo Askofu
Watanzania tunaonwa ni mapoyoyo sana.
Mzee ashauriwe aachane na kuweka kokoto umri umeenda sasa akubali matokeo