Si wamchape makofi na mitama, akili imkae sawa. Kama Adam Mchomvu alivyomtia adabu Mbasha.
Ifike mahali sasa NEC iwe na watumishi wake yenyewe. Hii kuazima hawa mbwa ni tatizo kubwaMimi nashangaa huu taratibu wa kukataa rufaa kwa kuanzia kwa hakimu yule yule aliyekuhukumu mwanzoni.
Mahakama chini ya Ccm nao ni wapuuzi wengine. Angalia mienendo yao kesi.. Ni ya hovyo na upendeleo ulio dhahiri. Ukiangalia mienendo ya kesi hapo Kenya na Tanzania ni kifo na usingizi. Utajiuliza hivi hawa majaji na mahakimu wa Tanzania wameokotwa wapi.Mahakama ya Rufaa iwajibike kwa maamuzi yake ya kipuuzi, kesi ya kupinga wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa uchaguzi mahakama Kuu ilikubali kwamba hakuna usawa wala haki, lakini mahakama ya Rufaa chini ya Jaji Mkuu ikasema kwamba hakuna shida kwa kuwa eti wasimamizi wa uchaguzi yaan ma-DED hula viapo vya kuacha uchama....haya sasa ona toka jana jinsi walivyoharibu zoezi zima la uchaguzi majimbo mengi
NEC hawako serious. Ingekuwa wote wanaofanya upuuzi kama huu inawachukulia hatua ya kupigwa life time ban ya kusimamia uchaguzi wowote pamoja na kuwapeleka Mahakamani wangekoma. Na baaada ya hapo NEC yenyewe ingepokea fomu hizo na kuongeza muda wa kuwasilisha fomu kwa wengine ambao labda walikatishwa tamaa. NEC wangefuta matokeo yeyote ambako pameonekana figisu zikifanyika wazi wazi, ingewaonyesha wanaowachezea kuwa hawana mzaha.Ifike mahali sasa NEC iwe na watumishi wake yenyewe. Hii kuazima hawa mbwa ni tatizo kubwa
Wameru mnashindwa kumpasulia chungu, apotee kabisa?
Ili CCM wasipitwe bila kupingwa!?Ifike mahali sasa NEC iwe na watumishi wake yenyewe. Hii kuazima hawa mbwa ni tatizo kubwa