Wanafunzi wa chuo Kikuu Dar Es Salaam wanaoishi COICT hostel wamekuwa wakilalamika juu ya msimamizi wao wa hostel kuwa amekuwa akitumia madaraka yake vibaya kwa kutoa kauli chafu na kutishia kuwa anakufukuza hostel na hauna utakachomfanya hivyo wanafunzi hao imebidi kuwa wapole