Msimamizi wa lodge, restaurant sure hotel

Msimamizi wa lodge, restaurant sure hotel

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,944
Reaction score
2,032
Wakuu Nina tafuta kazi ya kusimamia lodge,mgahawa au hotel nina uzoefu wa kutosha usiopungua miaka kumi hasa upande wa restaurant pia nimeshafanya kazi Katika migahawa mikubwa ya kimataifa ya jijini Dar es Salaam na Arusha.

Nina uwezo wa kuwafundisha wafanyakazi mbinu za kukuza biashara hii.Mwenye kujua Mahali anapohitajika mtu wa namna yangu basi tusaidiane kujulishana kupitia humu jamvini au kwa e-mail
johnzedon647@gmail.com.

Natanguliza shukrani kwa yoyote atayenipa ushirikiano
 
Vizuri. Mungu akusaidie kupata kazi. Pia hata Zanzibar jaribu napo kuomba kwenye mahotel mbalimbali.
 
Uzoefu wa Miaka kumi hata kijiwe cha kuuzia kahawa tu huna huwezi kuwa serious.
 
Anakushinda hata shshi......hajaenda shule anamiliki mgahawa....wewe unauzoefu WA miaka kumi,hata kibanda cha mama ntilie hauna.....elimu inaitajika tuichambue haraka sanaaaaaaa
 
Back
Top Bottom