Wakuu Nina tafuta kazi ya kusimamia lodge,mgahawa au hotel nina uzoefu wa kutosha usiopungua miaka kumi hasa upande wa restaurant pia nimeshafanya kazi Katika migahawa mikubwa ya kimataifa ya jijini Dar es Salaam na Arusha.
Nina uwezo wa kuwafundisha wafanyakazi mbinu za kukuza biashara hii.Mwenye kujua Mahali anapohitajika mtu wa namna yangu basi tusaidiane kujulishana kupitia humu jamvini au kwa e-mail johnzedon647@gmail.com.
Natanguliza shukrani kwa yoyote atayenipa ushirikiano
Anakushinda hata shshi......hajaenda shule anamiliki mgahawa....wewe unauzoefu WA miaka kumi,hata kibanda cha mama ntilie hauna.....elimu inaitajika tuichambue haraka sanaaaaaaa