Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,823
- 3,831
.l
RWEZAURA ANGALIA USIJE UKAOMBA KUPAMBANISHWA NA LISU KATIKA ULINGO WA SHERIA ZA TZ. HAKUTAKUWA NA TOFAUTI YA KUMPANGIA TYSON PAMBANO NA KOCHA WAKE.
.
WanaJF,
Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.
Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.
Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.
Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.
Mkuu HAMY-D amemheshimu tu, neno sahihi lingekewa m.pum.mbavu!Huyu Mwandishi amekosea kutumia neno UJINGA. Kujua kusoma tu na kuandika alikwishafuta ujinga. Hivyo, hata kama una ushabiki wa kisiasa, ulipaswa kuchagua maneno ya kutumia ili mada iwe na mshiko.
WanaJF,
Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.
Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.
Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.
Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.
hayo mahojiano umefanya naye wewe au? dada bana, mbona shahada yake ya uzamili hajaipata hapa udsm?
WanaJF,
Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.
Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.
Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.
Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.
Kuna jamaa amemwita Lissu kuwa sawa na yule mkuu wa propaganda wa Hitler Goebels!
Ogopa sana Uzi wenye zaidi ya miaka mitatu halafu hauna like hata moja!
..kulikuwa na jitihada za muda mrefu za kumchafua TL.
..awamu hii ikaingia na mkakati wa kumfanya TL aonekane kuwa ni adui, msaliti, na mhaini kwa nchi yake.
..na mwisho ni jaribio la kumtoa uhai.
Kumsimamia Mheshiwa Tundu Lissu ni baraka sana, ni bahati kupita kiasi, hawezi kujuta, sana sana hayo ni majigambo tu.WanaJF,