LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi akutwa na kura 25 zilizopigwa kwa Mgombea wa CCM

LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi akutwa na kura 25 zilizopigwa kwa Mgombea wa CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Msimamizi wa uchaguzi amekamatwa Kura feki 25 zilizo pigwa kabisa kwa Mgombea wa CCM, Haya Mauchafu Yanaendelea Nchi Nzima.

Hahaha......aibu sana.

Kumbe Mama hakujipanga kushinda uchaguzi
Waswahili husema 'kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza'.
Yale mabango nchi nzima, documentaries kila kukicha na sifa hata zisizostahiki juu ya Samia ni ishara tosha ya kuwa anajua hatoshinda kwa uhalali na anajaribu kuaminisha ulimwengu kuwa anafaa.

Ikitokea sasa hivi akawekwa Kingwendu dhidi ya Samia na kukawa na uchaguzi wa haki, Samia atapata kura yake, mumewe, watoto wake na mkwewe. Hata CCM wenyewe hawatompigia kura.
 
Hii siyo utani, raia wamemchoka. Sema bi mkubwa 2021/22 alikuwa na upepo, kajiharibia mwenyewe tu
 
Mtumishi wa umma ukimkomalia unakuwa unamwonea tu.

Wabaya ni maDE, MaDC na maDAS
Huyo wa mwisho anafata maelekezo tu
Watanzania wanajiangamiza wenyewe. Kwa faida ya nani? Kupata viongozi wa mchongo ni hasara ya nani? Hata hao maDC etc, hawajui kuwa leo wapo, kesho hawapo? Anyways, mwanzilishi wa huu ushetani ni yule lusufa Magufuli. Kabla ya hapo wizi haukuwa wa kimabavu namna hii.
 
Back
Top Bottom