Uchaguzi 2020 Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Serengeti atupilia mbali mapingamizi yote, Wabunge na madiwani walioteuliwa ruksa kushiriki Uchaguzi

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Kama tangazo linavyojionesha hapo chini, sijui wakurugenzi wengine wanasubiri nini kufuata mfano wake.

Inapendeza sana kiongozi kuwa na maamuzi yake kama alivyofanya huyu Mkurugenzi, watu wa aina hii ndio wanaliondolea hili taifa aibu mbele ya jumuia ya kimataifa.

Natumai na wengine watafuata mfano wake.

 
Hotuba ya kina Lissu ya jana inahusika bila shaka.
Fingers Crossed, natumai huu uamuzi wake utawaamsha na wakurugenzi wengine, wacha wakapambane kwenye sanduku la kura.
 
Amewaona chadema wanataka kukimbia ligi kijanja
 
f
watamfukuza kazi lakini Mungu atamhifadhi!
Mbona hukuisifia tume iliposema magufuli ni mgombea halali?
Mkaanza kulalama humu kuwa tu CCM?
Muwe fare na msipende vitu vinvyowabeba tu
 
Imani yake ktk uislamu inataka haki. Katekeleza. Hataki laana za baba askofu mbagala zakhem
 
Ufalme wa Tundu Lissu utakukumbuka kwa kuwa mtu wa kwanza kwenye mfumo wa kijani kupingana nao na kumua demokrasia ichukue mkondo wake
 
Unashangilia hiyo wakati wenzenu wama wabunge 18 ambao tayari wameshathibitishwa na tume
 
Hapa ndio utajua kama bawacha wana akili timamu au lah hahaha watamsifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…