Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025.

Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025.

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
10,392
Reaction score
15,948
Ndugu wanamichezo wote!

Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza.

Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima!

Mechi ya Leo 16.08.2024
Pamba 0- 0 Prison

RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round.
images (7).jpeg

Ligi ina jumla ya Timu 16.

Hadi sasa Msimamo Uko hivi.
20240818_194544.jpg

Msimamo Ulivyo Hadi sasa 13.09.2024
Screenshot_20240913-182558~2.png

Hadi Leo Singida Black Stars FC On Lead.
20240914_215911.jpg

Updates za leo 15.09.2024.
20240915_191546.jpg

UPDATES...16.09.2024
20240916_221541.jpg
 
Ndugu wanamichezo wote!

Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza.

Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima!

Mechi ya Leo 16.08.2024
View attachment 3071701

Ligi ina jumla ya Timu 16.

Hadi sasa Msimamo Uko hivi.
View attachment 3071703

Hadi Leo Yanga ndio anashikilia mkia.
Rage ajengewe mnara.
 
Aahaaaaaa

Na Simba atabakia hapo hapo
 
Mbona bado naona Ihefu ilhali ilishabadilishwa jina kuwa Singida Black Stars? Jina Ihefu huwa linanichefua sana.
Niwie radhi!!
Naona source niliyotumia iko hivyo.
Ila kuna ambayo iko sawa
 
Ndugu wanamichezo wote!

Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza.

Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima!

Mechi ya Leo 16.08.2024
View attachment 3071701

RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round.
View attachment 3071788

Ligi ina jumla ya Timu 16.

Hadi sasa Msimamo Uko hivi.
View attachment 3071703

Hadi Leo Yanga ndio anashikilia mkia.
Mzee Fountain Gate Football Club mbona haipo kwenye msimamo wako. Please ondoa maana una confuse wasomaji
 
Mzee Fountain Gate Football Club mbona haipo kwenye msimamo wako. Please ondoa maana una confuse wasomaji
Wao ndio wanatuchanganya sasa.

Kuna Singida Big Stars (Fountain Gates)
Then Singida Black Stars (Ihefu)
 
Wao ndio wanatuchanganya sasa.

Kuna Singida Big Stars (Fountain Gates)
Then Singida Black Stars (Ihefu)
Mzee unajichanganya mwenyewe tu. Unaharaka sana kuweka taarifa bila kuangalia valid source.
Hakuna Singida Big Stars wala Ihefu.

Wewe mwenyewe umeweka ratiba hii kutoka TFF. Hiyo Table nyingine umeitoa wapi?
Hii hapa ndio correct 👇 👇 👇 👇 Soma vizuri.

Ondoa picha ya pili unachanganya watu.

1723823039841.png
 
View attachment 3071879
Tayari Mkuu!
Hiyo haiwaondoi Utopolo Kuburuza mkia.
 
Ndugu wanamichezo wote!

Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza.

Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima!

Mechi ya Leo 16.08.2024
Pamba 0- 0 Prison

RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round.
View attachment 3071788

Ligi ina jumla ya Timu 16.

Hadi sasa Msimamo Uko hivi.
View attachment 3071957

Hadi Leo Yanga ndio anashikilia mkia.
Yanga ana tishio kubwa la kushushwa daraja (relegation)
 
Back
Top Bottom