Rage ajengewe mnara.Ndugu wanamichezo wote!
Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza.
Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima!
Mechi ya Leo 16.08.2024
View attachment 3071701
Ligi ina jumla ya Timu 16.
Hadi sasa Msimamo Uko hivi.
View attachment 3071703
Hadi Leo Yanga ndio anashikilia mkia.
AahaaaaaaNdugu wanamichezo wote!

Mzee Fountain Gate Football Club mbona haipo kwenye msimamo wako. Please ondoa maana una confuse wasomajiNdugu wanamichezo wote!
Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza.
Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima!
Mechi ya Leo 16.08.2024
View attachment 3071701
RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round.
View attachment 3071788
Ligi ina jumla ya Timu 16.
Hadi sasa Msimamo Uko hivi.
View attachment 3071703
Hadi Leo Yanga ndio anashikilia mkia.
Mzee unajichanganya mwenyewe tu. Unaharaka sana kuweka taarifa bila kuangalia valid source.Wao ndio wanatuchanganya sasa.
Kuna Singida Big Stars (Fountain Gates)
Then Singida Black Stars (Ihefu)
Tayari Mkuu!Mzee unajichanganya mwenyewe tu. Unaharaka sana kuweka taarifa bila kuangalia valid source.
Hakuna Singida Big Stars wala Ihefu.
Wewe mwenyewe umeweka ratiba hii kutoka TFF. Hiyo Table nyingine umeitoa wapi?
Hii hapa ndio correct π π π π Soma vizuri.
Ondoa picha ya pili unachanganya watu.
View attachment 3071879
Yanga ana tishio kubwa la kushushwa daraja (relegation)Ndugu wanamichezo wote!
Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza.
Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima!
Mechi ya Leo 16.08.2024
Pamba 0- 0 Prison
RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round.
View attachment 3071788
Ligi ina jumla ya Timu 16.
Hadi sasa Msimamo Uko hivi.
View attachment 3071957
Hadi Leo Yanga ndio anashikilia mkia.
Ligi ikiisha leo utopolo anashukaTayari Mkuu!
Hiyo haiwaondoi Utopolo Kuburuza mkia.